Friday, June 26, 2015

Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa jambazi ameuawa katika mapambano na polisi katika kijiji cha Kibande wilayani Buhighwe mkoani Kigoma.


Kamanda Mtui akionesha bunduki iliyokamatwa
Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa jambazi ameuawa katika mapambano na askari polisi katika kijiji cha Kibande wilayani Buhighwe mkoani Kigoma baada ya polisi kutaka kuwakamata majambazi watatu waliokuwa wakijiandaa kufanya uhalifu katika tukio hilo ambalo lilipekea bunduki moja ya kivita na risasi 72 kukamatwa.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma kamishna msaidizi wa polisi Ferdinand Mtui amesema mtu huyo hajatambulika, na kwamba majambazi wengine wawili walifanikiwa kutoroka katika tukio hilo lililotokea katika kijiji hicho cha kibande ambacho kipo mpakani na nchi ya Burundi.
Wakati huohuo risasi 599 za bunduki ya kivita aina ya SMG zimeokotwa katika eneo la Nyawela mjini Kibondo baada ya fundi ujenzi Remijius Robson kuzibaini zikiwa zimefukiwa chini wakati akichimba msingi wa nyumba hali iliyomlazimu kutoa taarifa polisi.

Monday, June 22, 2015

Hizi Ndio Njia rahisi Kabisa za Kusafisha Figo

The kidneys are tasked with arguably the most important role in your body; they are responsible for filtering out deadly toxins that would otherwise cause the body to shut down. So, it only makes sense to keep the organ keeping you healthy, well… healthy, right?  This article will be focusing on the top foods and herbs to keep your kidneys functioning and strong.



While exercise is always an important factor in health, a proper diet Is the key to keeping your kidneys and other internal organs functioning in the best way possible. Avoiding things like processed foods, additives and foods high in sugar are important. However, some “healthy” foods could also lead to a decline in the health of your kidneys. Red meats, while packed with protein, are one of the food choices that if not properly moderated could lead to declining health in your kidneys.

Aside from avoiding these foods that could translate to bad kidney health eating the foods on this list could help doubl
e your kidneys’ detoxifying powers.
7 Foods That Will Keep Your Kidneys Clean
    Olive Oil

One of the most delicious and versatile foods on this list is olive oil. This slick substance is perfect for those looking to clean their kidneys. Filled with antioxidants and minerals, this basic ingredient can be integrated into almost every meal you eat with little effort.

    Water

MASHINE YA KUSIMAMISHA MATITI , WANAWAKE YAFAA KUCHUKUA TAHADHARI.


Hii ndiyo mashine ya kusimamishia matiti na hapa ipo kutumika
Hii sayansi na teknologia sasa inatupeleka pabaya. Hivi karibuni wataalam toka china wameleta mashine maalumu ya kunyanyua matiti (yawe na muonekano wa saa 6) ambayo itawasaidia kina dada/mama wenye maziwa yaliyoanguka au kusinyaa kuwa na muonekano mzuri. Huduma hii imeshaanza kutolewa hapa nchini maeneo ya sinza.Hivi hawa wachina wanatutakia mema kweli?,
Jinsi ya Kuyatunza Maziwa(titi) ya Mama lisilale (Pia Namna ya Kuyarudisha yaliyolala hali yake ya asili Yake)
Je wanaweka wazi madhara yanayoweza kuwapata baadae hao watakaonyanyua matiti yao?, je shughuli hii ina tija kwa watanzania?
Baadhi ya maoni ya watanzania juu ya mashine hii;
1. Hii ni hatari kama hatutakuwa makini,mishipa imepungua nguvu alafu unaisimamisha kwa nguvu'CHUNGA SANA.
2. Dada zangu tuwe makini na hizi mashine zinazokuja,baada ya urembo kinachofuata ni kansa.tujiulize mara mbili kabla ya kwenda huko
3. Utakuta mdada mzima, anajua kuwa tayari 'malapulapu yameshatamalaki, yeye anavaa suruali yake na kitop chake halafu bila sidiria huyooooo anaingia mtaani..........yaani unamuangalia unajiuliza hivi huyu hana mpenzi amwambie walau avae sidiria? Halafu utakuta anadai eti ana gundu mbona hatokewi! nani akutokee wakati mtu akikuangalia tu 'hamu' yote inaisha!
4. Kutokujiamini tu, kam kupendwa utapendwa tu hata kam una malapa kifuani.Na mbona mazoezi yanasaidia sana? Unaweza ukatengeneza mwili vizuri tu kwa kufanya mazoezi

Hizi Ndio Njia rahisi Kabisa za Kusafisha Figo

UNACHELEWA KUPATA NGUVU ZA KURUDIA TENDO MARA YA PILI? DAWA NI HII!

Jinsi ya Kuyatunza Maziwa(titi) ya Mama lisilale (Pia Namna ya Kuyarudisha yaliyolala hali yakeya asili Yake)

Titi la mwanamke huyu likiwa limeharibika kutokana na kansa, ambapo madawa mbalimbali na vifaa vya urembo wa wanawake husababisha ugonjwa huu

Share to others

Mrembo JOKETI MWEGELO Akiri Kumkosesha Diamond Tuzo za Kill Music

Ikiwa ni Siku chache zimepita toka Diamond Platnumz Kugalagazwa vibaya na hasimu wake mkubwa katika muziki Ali Kiba kwenye  Tuzo za Kill Music Awards 2015, Tayari mchawi wa kwanza wa msanii huyo amejitangaza hadharani...
Akiongea na Redio Clouds kwenye red carpet, Joketi Mwegelo Kidoti alikiri kumpigia kura Ali Kiba na Kushawisha wetu wengine wampigia kupitia Instagram na kumtosa mpenzi wake wa Zamani Diamond Platnumz..

Kitendo cha Jokate Kutangaza Hadharani kuwa yeye alikuwa miongoni mwa waliompigia kura Ali Kiba kimedhihirisha kuwa sio kwamba hapendwi na Team Kiba tu bali hata wepenzi wake wa zamani hawapendi kuona Diamond Akiendelea Kisaniiii....

DAVIDO Atoa Mpya Kwa Vimbele mbele wa Tanzania Wanaomvotia Yeye MTV Awards, Awaomba Wamvutie Diamond Platnumz yeye Hana Shinda na Vote za Tanzania


Imeandika "Tanzania Thanx 4 voting but i don want distabance in my acc plz vote Diamond not me Plz"


Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa kumsaidia wema anayelilia mapenzi na kiba anayetaka kupaa.

Watanzania hawa wamefikia kutia aibu nchi yetu kwa kuandika maneno ya ajabu na hata kutukanana humo humo. Wanamuomba pia mengi wakijua ni single man...aibuuuuuuuu

Amewajibu na kwa mie hata sishangai alichoandika, watu wanadhani wananchi wa nchi zingine ni wajinga kama wao.

Uwiiiiiii mmetia aibu ujumbe huo

Saturday, June 20, 2015

HII NDO STAILI TAMU INAYOWAKOJOLESHA MAELFU YA WANAWAKE BILA KUJIZUIA.....!! SHUKA NAYO HAPA KUIJUA


Jinsi Ya Kujipanga:
Mwanamke alale chali(uso,matiti na kila kitu viangalie juu),kisha Mwanaume apige magoti mbele yake,baada ya hapo,mwanamke aweke miguu yake kwenye mabega ya mwanaume,unaweza kuweka mto(pillow) chini ya makalio ya mwanamke awe more comfortable and relaxed. 
Faida za Hii Style:
Mwanamke akiweka miguu juu ya mabega ya mwanaume wakati wa kupeana Raha na Utamu,kuna faida mbili mtaenjoy,ya Kwanza, mashine ya mwanamme na uke wa mwanamke zote zinakuwa katika level sawa,hii inasaidia mashine ya mwanaume kuisugua vizuri G-spo*t,na Pili U*ke wa mwanamke unajibana kidogo, ikijibana inaongezeka kuwa tight,na kufanya starehe ya tendo kuzidi.

  Maujanja Zaidi:
Mwanaume inabidi ashikilie makalio ya mwanamke, akipump kuelekea juu ili aweze kuilenga vizuri G-sp*ot sehemu yenye utamu usiokifani

Kadinda: Wema Anachangamoto Hii Kwenye Siasa

Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema anaamini kuwa muigizaji huyo anaweza kuwa kiongozi mzuri japo changamoto inayomkabili ni kubadilisha mawazo ya watu juu yake hasa kutokana na maisha yake ya ustaa na mapenzi.
Martin ameiambia Bongo5 kuwa kinachotakiwa sasa ni kuwabadili watu waanze kumchukulia kama mwanamke anayeweza kuwa kiongozi.
“Watu wengi wametokea kumsupport kwa sababu walikuwa wanamsikia baba yake akimtaka aingie kwenye siasa, na wengine walikuwa wanamtaka Wema aingie kwenye siasa,”amesema Martin.
“Lakini ana kazi kubwa ya kuweza kubadilisha watu jinsi wanavyomchukulia. Kwahiyo anachukulia positive kwa sababu watu aliokuwa nao wameweza kumsupport. Lakini kabla hatujafika huko sasa tutamuona kama kiongozi sioo kama msichana wa bongo movie. Tumuamini Wema kama anaweza kuonyesha tu nia hata asipopata tukumbuke kuonyesha nia tu ni kupata, kwa sababu ana ndoto kubwa sana anataka kuzifanya,” ameongeza.
Hivi karibuni Wema alitangaza nia ya kuwania ubunge wa viti maalum kwa tiketi cha chama cha mapinduzi mkoani Singida.
Bongo5
Picha: Wema Sepetu akiwa na petitman
   ***********TOA MAONI YAKO, UNADHANI TANZANIA SASA INAELEKEA KUZURI       HASA HUKO MBINGENI?**********
 Kadinda: Wema Anachangamoto Hii Kwenye Siasa

BVR MARA: VITUO VYAFUNGWA KWA UBOVU WA MASHINE


Zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura kwa kutumia mfumo BVR katika maeneo mengi ya mkoa wa Mara limeingia dosari baada ya mashine zinazotumika kushindwa kufanya kazi na nyingine kuharibika, na kusababisha vituo vingi kufungwa na kuibua malalamiko mengi kutoka kwa wananchi.
Kasoro hizo zimeripotiwa katika wilaya za Serengeti, Bunda, Butiama na Musoma mjini hatua ambayo imesabisha baadhi ya wananchi kushinda na k...
East Africa Television (EATV)'s photo.SOURCE EATV

DAKTARI AANIKA CHANZO CHA MASTAA KUWA WAGUMBA, YUMO WEMA, LADY JAY DEE NA WALPER

DOKTA Chale ambaye anaandika makala za afya katika gazeti ndugu la hili la Ijumaa, ameanika chanzo cha mastaa wengi kupata ugumba ambapo pamoja na vyanzo vingine, ameyataja madawa ya kuongeza maumbile ya mwili na ya kujichubua yanasababisha tatizo hilo.


Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu.

Akizungumzia madawa hayo pasipo kuyataja majina (yamezagaa mitaani), dokta Chale alisema baadhi ya madawa hayo yana kemikali ambazo hupenya hadi kwenye figo na kuzisababishia madhara ambapo moja kwa moja hawezi tena kupata mtoto.

KIMENUKA!! SHILOLE AMTIMUA NUH MZIWANDA

Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani umemfanya msanii wa Bongo Fleva,Nuh Mziwanda kuondoka nyumbani kwa mpenzi ambaye ni msanii,Shilole ili kumpisha mpenzi wake afunge kwani hawajafunga ndoa.

Shilole ameyazungumza hayo wakati akizungumza na Clouds Fm,ratiba yake nzima ya mapishi kwenye mwezi Mtukufu na kusema kuwa mwezi huu wa Ramadhani ameacha kufanya vitu vyote vya starehe na ndiyo maana hata mpenzi wake Nuh ameondoka nyumbani kwake ili asiharibu funga yake.

‘’Nuh ameondoka nyumbani kwangu amerudi kwao ili asiharibu funga yangu,’’alisema Shilole

WATU 35 WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUBUGIA POMBE YA KIENYEJI,WENGINE WENGI WAKO HOI

gongoHivi karibuni ishu ya wanaume wa Rombo kujihusisha na pombe haramu aina ya gongo na kusahau majukumu ya familia zao ilikaa kwenye headlines kwa muda mrefu na hata kufikia kuzungumzwa sana hata bungeni.
Matumizi ya unywaji wa pombe hiyo si tu inanyweka Tanzania kwani leo headlines zimehamia nchini India baada ya watu 35 kupoteza maisha katika mji wa Mumbai baada ya kunywa pombe hiyo na wengine kulazwa hospitali.
Hata hivyo Serikali ya nchi hiyo imeingilia kati baada ya kutaka uchunguzi wa kina ufanyike huku watu watatu wakishikilia kwa tuhuma hizo.
Unywaji wa pombe hiyo umeshika kasi katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo huku bei ya kununua imekua iko chini ya dola moja na kufanya idadi ya wanywaji kuongezeka huku Mwaka 2011 kuliripotiwa kupoteza maisha kwa watu 170 kutokana na unywaji wa pombe hiyo.
SOURCE: KAHAMA FM

MWANAMUZIKI MABESTE AOMBA RADHI BAADA YA MKEWE KUMSHAMBULIA MTANDAONI MWANAMUZIKI JUMA JUX ALIPOPATA TUZO YA KILL MUSIC

Baada ya Mkewe Kumshutuma Mwanamuziki JUMA JUX kwa Kutokutoa Shukrani kwa Mabeste ambae alitunga wimbo wa sisikii uliyochukua Tuzo ya Kill Music ...Mabeste Naye Aliingia Mtandaoni na kuandika Haya Hapa chini:

'Wandugu wote mnajua mke wangu ana tatizo la kisaikolojia...hayupo katika hali yake ya kawaida kama vile zamani bado anaendelea na matibabu ya kisaikolojia....alichokiandika naeza sema ni moja psychological disease aliyo nayo....na awali nilishasema akipata habari mbaya ndivyo anavyokua ana over react na hata kupelekea kuzimia au kukakamaa mwili....habari za KTMA alikua

KUMUONA MTOTO WA ZARI MIL.20, ATENGWEWA CHUMBA MAALUM.. KULALA PEKEYAKE, VYOMBO VYA HABARI NAVYO KULIPIA MAHOJIANO

AMA kweli Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Mama Kijacho, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, sasa ni wa kimataifa zaidi ambapo wakati mwanamama huyo akijiandaa kujifungua, tayari mtoto ajaye ameandaliwa chumba maalum cha kulala na gharama za kumuona kwa atakayehitaji picha hasa za kwenye vyombo vya habari, itakuwa si chini ya Sh. milioni 20.

Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Mama Kijacho, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

CHANZO KUTOKA WCB
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho kipo ndani ya Wasafi Classic Baby (WBC), Diamond na Zari wameamua kutenga chumba maalum cha mtoto wao atakapozaliwa.

Friday, June 19, 2015

Binti wa Miaka 22 Kwenye Penzi Zito na Baba wa Kambo (USHAURI)

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22 na kwa sasa nipo chuo…. Ninapokuwa likizo nyumbani, huwa napenda kutoka na kutembea na baba yangu kuliko mama yangu.Nina hili tatizo, nimekuwa nikivutiwa na baba yangu licha ya kujitahidi hali hiyo isitokee inashindikan. Juzi kati wakati mama yangu alipokwenda kwenye harusi nilimshawishi baba na tukaishia kufanya mapenzi.Kiukweli nina mpenzi ila nimejikuta nikvutiwa zaidi na baba yangu na sielewi nikwa nini. Najisikia kufanya mapenzi naye tena na tena....Nifanye nini kuiondoa hali hii....?Sababu ameniambia mimi ni mtamu kulikomama (Yeye ni baba yangu wa kambo, ila ni mtamu sana).
Naomba msaada....

ISHARA KUBWA 3 ZA MWANAMKE ALIYEKUZIMIA KISAWASAWA.SOMA HAPA KIDUME NIKUJUZE LEO


Ni muhimu sana kwako mwanaume kujua kwa uhakika kuwa mwanamke anakupeda kweli kweli,utajuaje kuwa mwanamke anakupenda? Zifuatazo ni ishara ambazo wewe kama mwanaume unapaswa uwe makini iliuweze kuziona na haraka kumtolea uvivu huyo mwanamke.* Mwanamke anayekupenda atahangaika juu yako,atahangaika juu ya usalama wako,raha yako,heshima yako na maendeleo yako.Hii ni moja kati ya ishara kubwa kuwa mwanamke huyoanaupendo na wewe.* Mwanamke anayekupenda atakuonea wivu mara

JINSI YA KUSUGUA G SPOT YA MWANAMKE, ATALIA KAMA MTOTO MDOGO



Grafenberg Spot a.k.a G-Spot ni kidude laini kama sponge chenye umbile la haragwe ambacho kipo ndani ya Uke,kwenye upande wa juu inch 2 mpaka 3 kutoka nje kuelekea ndani.
 
 
Wakati mwanamke anapozidi kupata hamu ya kupata raha na utamu,kuna tissue ambayo ipo karibu naimezunguka urethra,inakuwa engorged with blood,na kusababisha Skenes glands zitengeneze Prostatic Fluid na kufanya hicho kiharagwe kidinde/kisimame na process yake haina tofauti na process ya kusimama kwa mashine ya mwanaume,lazima uelewe kuwa kama hujazipandisha hamu zake vya kutosha,basi itakuwa kazi sana kukipata kidude hiki.


JINSI YA KUFANYA.

JE WAJUA WANAWAKE WANAVUTIWA NA NINI ZAIDI KWA WANAUME? ZAMA HAPA KUJUA ZAIDI

Kama mwanaume lazima upate wakati 
wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa 
ajili ya kulifanya penzi lako lizidi 
kuchanua. 
USAFI BINAFSI 
Asilimia kubwa ya wanawake 
wanapenda sana usafi. Ni aghalabu sana 
kukutana na mwanamke asiyejipenda. 
Ndiyo maana wanaitwa mapambo ya 
nyumba au la nyumba! Ni kwa sababu 
ya hulka yao ya kupenda sana usafi. 
Mwanamke anavutiwa sana na 
mwanaume mtanashati. Usafi wako 
unamfanya ajiamini kuwa na wewe. 
Hata nyumbani kwako, lazima uishi 
katika nyumba safi. Hata anapokuja 
kukutembelea, anakuta mazingira 
masafi kuanzia sebuleni hadi chumbani. 
Anapokukuta katika hali ya usafi, 
inakuwa rahisi zaidi yeye kuanzia hapo 
alipokukuta na kuendelea mbele. 
KUJIAMINI 
Mwnamke anajisikia salama zaidi akiwa 
na mwanaume ambaye anajiamini – 
mwenye uwezo wa kutetea hoja zake na 
kujieleza sawia. Siyo anayebabaika. Suala 
la msimamo binafsi, kwa mwanamke ni 
kubwa kuliko hata kumnunulia 
manukato mapya! 
Mathalani unakuwa naye katika mtoko, 
angependa kukuona ukiwa katika hali 
halisi ya maisha yako, usiyeyumbishwa 
na mwenye kutoa maamuzi 
yasiyoyumba. 
Wakati mwingine, mwanamke anaweza 
kukupima hata katika jambo ambalo 
amekosea yeye, ataangalia unavyotoa 
maamuzi yako, lakini pia atafuatilia 
kuona kama utakuwa mwepesi wa 
kuyabadilisha. 
Anataka kuona msimamo wako muda 
wote. Mwenye kujiamini na mawazo 
yasiyo na matege wala makengeza! 
KUJITETEA 

HII NDIO SAIZI YA UUME INAYOPENDWA ZAIDI NA WASICHANA WENGI .. SASA BASI KAMA WEWE NI KIDUME SOMA HAPA HII SIO YA KUKOSA KABISA

Katika siku za hivi karibuni watu wamekuwa wakijiuliza ni size gani ya kifaa kinachotakiwa kufanyia mambo yetu yale....

Kumekuwa na fujo kubwa kati ya wanawake na wanaume,wanapoamka asubuhi kitu cha kwa kwanza ni kufikiri namna gani wataweza kuwavutia wasichana, na namna gani ya kuweza kuwavutia wanaume kwa upande wa wasichana.Hapo ndipo suala la KUKUZA MAKALIO,MATITI NA UUME linapochukua nafasi yake,huku yote hayo YAKIIGWA kutoka katika mikanda ya NGONO
Tukizungumzia swala hili kutoka katika makampuni ya mikanda ya NGONO,Wao wanadai kuwa mwanaume lazima awe na ukubwa kiasi flani ili aweze kuwa bora zaidi kwa mpenzi wake,na hapo ndipo uanaume wake unaweza kukamilika 
<<>>
Kama tu vilivyo vidole vyako,vina urefu tofauti lakini vyote vinafanya kazi moja bila ya kujisikia kuwa kidole flani ni bora kuliko chenzake.Kwa mujibu wa doktari pia mchungaji Olamide Craig yeye anadai kuwa "mwanaume sio lazima awe na size kubwa ya uume ili kumridhisha mpenzi,kitu cha msingi ni kujua mpenzi wako anataka nini na kwa namna gani waweza kufanya ili mpenzi wako aridhike{AKOJOE}"
<>

MANENO MATAMU YA KIMAHABA YATAKAYOMFANYA MPENZI WAKO AWE NA HAMU YA KUFANYA MAPENZI


Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "ny#ge"kabla ya kuanza kufanya map3nzi.Wawili hawa wanaweza wakawasehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza

MAPENZI:JE WAJUA NI KWANINI MWANAUME ANAHAMU ZAIDI YA KUFANYA MAPENZI KULIKOMWANAMKE?..JIBU LIKO HAPA

Wiki hii nataka kuzungumzia mada ya kitaalam zaidi kuelezea swali ambalo nimekuwa nikiulizwa na wasomaji wangu kwamba, kwanini mume ana hamu kubwa ya kufanya mapenzi kuliko mke.Kama wewe ni mfuatiliaji wa karibu wa safu hii utakumbuka niliwahi kuzungumzia faida za kufanya tendo la ndoa. Naamini wapo ambao walikuwa wakizifahamu faida hizo lakini pia, kuna ambao walishtuka kusikia kuwa kufanya tendo la ndoa kuna faida nyingi zaidi ya kustarehesha kama wengi wanavyojua ukiachilia mbali kwambawapo wanaofahamu kwamba, kufanya tendo hilo ni kwa ajili ya kutafuta mtoto tu.Wapo ambao walipofahamu kwamba, kufanya ngono kuna faida hizo, wamekuwa wakiongeza ‘usumbufu’ kwa waenzi na wanandoa wenzao hali ambayo imesababisha kuwepo kwa

Usikubali kuwa chanzo cha mpenzi wako kukusaliti


Rafiki, wanawake wengi hulia na kujutia kuwepo katika ndoa, hii ni kutokana na kuhisi au kujua kuwepo kwa usaliti kwa waume zao. Ukweli ni kwamba suala la kusalitiwa linaumiza sana, hakuna atakayekuwa tayari kukubali usaliti katika penzi lake.
Huo ndiyo ukweli, lakini pamoja na ukweli huo umewahi kujiuliza kwa nini mpenzi wako anakusaliti? Umewahi kufikiri kwamba hata wewe unaweza kuwa chanzo cha mpenzi wako kukusaliti?

WANAWAKE WENGI HAWAPENDI CONDOM" ILA HUWA WANAULIZA KUZUGA TU,UKWELI UKO HAPA

Kadude kadooogo lakini KASUMBUFU KWELI...Kanatiaga Uvivuuu...

Kila mtu akiulizwa anajibu kisiasa kwamba ANATUMIA lakini Mtu huyohuyo ikipita miezi 3 unashangaa ANA MIMBA unabaki kujiuliza alikuwa anamvalisha kwenye kidole gumba ama??
Yaani unaweza ukakanunua VIZURI TU...Unaenda nako mpaka Gesti VIZURI TU...Unakatoa mfukoni unakaweka Chini ya Mto pale kitandani kujiandaa na mechi VIZURI TU lakini mwisho wa siku unajikuta UMECHAKAZA RIM...

Yaani kitendo cha kunyoosha tu mkono kutoka kona ya kitanda ulipo kwenda chini ya mto ili uivae unahisi kama vile ule mto uko Njia Panda ya Ifakara... MBALII BALAA!

My Husband No Longer Gives Me Good $*x in Bed -- Please Help!!!SEE HERE

I have been married for five years and have two boys. I am still the way I was before child-bearing. My shape and slim looks are still intact and many people who don’t know still see me
as a hot spinster and I always tell the guys that I’m happily married and they should stay off.

But an issue is shaking the foundations of my marriage. My husband has had little or no interest in $*x for about a year. I have tried to find out why he suddenly lost interest in $*x but he is not forthcoming. 

We have a good relationship apart from this problem but I cannot remain like this for long. I have done all kinds of things to seduce him. I’ve tried lingerie, backrubs, and romantic dinners, but nothing works. 

I don’t know what else to do. Please help me.
- Blessing from Benin.

Below is Julie Coker's response to Blessing's bedroom trouble...
Dear Blessing,
Every couple goes through periods when one or both partners are too busy or not in the mood. But the sustained lack of interest you mention signals that something is wrong. Some physical conditions can lower libido in men, as can some medications. If you think illness may be a factor, urge your husband to have a complete physical examination.

Tuesday, June 9, 2015

MBUNGE WA JIMBO LA MULEBA KUSINI NCHINI TANZANIA.... PR. TIBAIJUKA AZOMEWA NA WANANCHI WAKE......

Baada ya kuzomewa jana Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alifunguka haya
“Kama hamnitaki siyo lazima niwe mbunge wenu, mnaruhusiwa kubadili. Huyo aliyewapa viroba asubuhi hii ili mje mnitie aibu mbele ya katibu mkuu wa chama nawaambia hiyo dhambi itawatafuna,” alisema. “Mimi sitafuti kazi na wala sina njaa... na kama hela ya kula ninayo. Mimi sigangi njaa na kama mnataka kuwa na kiongozi mganga njaa muwekeni muone atawasaidia vipi,” Source: MCL
Unazungumziaje suala hili

TEN COUNTRIES OF THE MOST BEAUTIFUL GIRLS

Top 10 countries where you will meet the most beautiful women in the world, because we all have our own personal reasons to emigrate to a country rather than another or even further to travel and visit other countries. Miami for example is a city renowned for its cult of beauty and many people go there for that reason. But some choose a destination for landscapes, for culture, for the climate or for business or other.For  people who pay special attention to the physic of the ladies local inhabitants when choosing their destination before travelling, here are proposals by positions of our site members who traveled round the world, here are some of the 10 countries where the most beautiful women in the world is located.
However, I am curious to know if a country is missing and if the order by positions is good, need your point of view.pro111

Wednesday, June 3, 2015

hahaahahahahahahahahahha je, ni kweli hii " makabila haya eti yakiwa kitandani hayatingishi wala kujituma kumridhisha mpenzi wake?

Haya makabila Kitandani ni Wabovu Sana

Hiyoooooooooooooo ndo habari kwani kuna baadhi ya makabila ukiwa una mgegeda hata hatingishiki yeye ni kutulia kama gogo tu wala hawezi hata kukukuruka kwanza wachaga, wapare, waha, wangoni, wakikuyu, wakurya, waluguru, wagogo, wamasai na mengine kibao yani ni shida hadi wanaz4anya papuchi zao kua za baridi sana jaman badilikeni, haya toeni uzoefu wenu na ninyi

Nimeishi Naye Ndani ya Ndoa Miaka Mitano, Jogoo Langu Halipandi Mtungi, mke Anataka Kunitosa

Habari wapendwa katika bwana,

Nimeishi na mke wangu kwa miaka mitano tukiwa na amani na furaha, lakini upendo ulianza kulegalega kuanzia mwaka jana mwezi wa kumi na mbili pale ambapo uume wangu ulipoanza kushindwa kusimama hivyo kutokidhi mahitaji ya kindoa kwa mke wangu, nimejaribu tiba za kila aina lakini sijapata tiba.

Mke wangu ananitishia kuniacha kwani anadai haoni thamani ya mimi kuwa naye na mbaya zaidi siku hizi akienda kwa kazi anachelewa kurudi, nikimuuliza anadai mara nilikuwa semina, mara tulikuwa na kikao na bosi, kwakweli jambo hili linaniumiza sana, imefikia kipindi natamani tuachane kwani imekuwa kero kwangu, moja ugongwa nilo nao unanivuruga na pili mke wangu amekuwa mbogo, haoni tena thamani yangu kwake.

Naomba msaada wenu

Haya Ndio Madhara ya Wapenzi Kunyonyana Sehemu za Siri kwa Kutumia Midomo Wafanyapo Mapenzi

ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.

Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao.

Utafiti huo umebaini kwamba, vijana wengi wanapenda kuiga tabia  zinazofanywa na baadhi ya watu mbalimbali wanaoigiza muvi mbalimbali duniani zikiwemo muvi za ngono.

Lowassa Aahirisha Kuchukua Fomu ya Kugombea Urais

Mbunge wa Monduli ambaye aliwahi kuwa Waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa amaeahirisha kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi hadi siku ya kesho ambayo ni alhamisi.

Hadi sasa mwanasiasa  aliyefungua dimba la kuchukua fomu ya urais  ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya pamoja na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira.

Mwanasiasa anayefuata  mchana huu ni Amina Salum Ali.
 

Tags;Udaku Special Blog
Toa Maoni Yako

Burundi yaahirisha uchaguzi wa wabunge

Serikali ya Burundi imetangaza kuwa uchaguzi wa rais na wabunge uliotarajiwa kufanyika Ijumaa hii umehairishwa mpaka tarehe nyingine itakapopangwa.
Msemaji wa rais Nkurunzinza,Wily Nyamitwe ameiambia BBC kuwa tarehe itapangwa na wasimamizi wa uchaguzi wa nchi hiyo.
Mabadiliko hayo yamekuja kutokana na taifa hilo kuingia kwenye machafuko tangu Rais Piere Nkurunzinza kutangaza nia ya kuongoza kwa awamu ya tatu baada ya kuwa rais kwa miaka 10.
Umoja wa Mataifa imeelezea jinsi mgogoro huo ulivyoongeza idadi ya wakimbizi wanaoikimbia Burundi.
Hivyo kumtaka rais huyo kuachia ngazi mwezi huu kama makubaliano ya Azimio la Arusha yalivyoelekeza.
tags: BBC swahili

Afrika Kusini yakana kutoa hongo kwa FIFA


Afrika kusini imekana kwa mara nyengine tena kwamba ilitoa hongo ili kupewa maandalizi ya kombe la dunia la mwaka 2010.
Waziri wa michezo nchini humo Fikile Mbalula, amewaambia wanahabari kwamba Afrika kusini itashirikiana na wachunguzi kutoka Marekani lakini imekataa kuingizwa katikati ya ugomvi kati ya FIFA na Marekani.
Amesema kuwa dola millioni 10 zilizotolewa zilikuwa malipo ya kusaidia soka miongoni mwa raia wa Afrika wanaoishi katika visiwa vya Caribbean na yalilipwa miaka kadhaa baada ya michuano hiyo kuandaliwa na Afrika kusini.
tags bbc swahili

Afisa wa FIFA akiri alipokea rushwa


Wizara ya Sheria ya Marekani imechapisha taarifa inayoelezea jinsi Afisa wa zamani wa FIFA Chuck Blazer alivyokiri kuwa yeye pamoja na wenzake walipokea rushwa ikiwa ni pamoja kuichagua Afrika Kusini kuwa mwenyeji wa fainali ya kombe la dunia mwaka 2010.
Katika taarifa hiyo imeweka wazi mtandao wa malipo ya rushwa ulivyokuwa ukifanywa ndani ya shirikisho la soka duniani FIFA, taarifa zinazoegemea uchunguzi uliofanywa na shirika la kijasusi la Marekani FBI.

MUME AFUKUZWA UKWENI, ETI KISA UFUKARA WAKE... AONDOKA HUKU AKICHEZEA KICHAPO BALAA

HII ni dunia ya mambo mengi! Mkazi wa Kigogo -Luhanga jijini Dar, aliyefahamika kwa jina la baba Juma, Jumamosi iliyopita alijikuta akitimuliwa ukweni sanjari na mkewe, Mwanahamisi Njama kwa madai amekuwa akishindwa kutoa ushirikiano wakati wa kuchangia chakula kwenye familia ya mkewe.

Baba Juma akitimuliwa ukweni.

Tuesday, June 2, 2015

A Crash Course in Gender & Gender Identity

By
18, Staff Writer Originally Published: December 12, 2013  
Revised: January 13, 2014


Figures on bathroom signs. Aisles at the toy store. Gender is represented everywhere. Colors, clothing and careers are even assigned genders: blue and pink, pants and skirts, doctors and nurses. Gender is often thought of as an either/or—man or woman—two separate entities which rarely overlap. But for many, it isn’t as simple as checking off one of two boxes.
Gender identity is how a person understands him-or herself as a man, woman, a combination of both or neither. Gender and gender identity affect people’s body image and how they present themselves to others. It also has an impact on how people interact in personal and sexual relationships. Gender identity is an important part of our identity, but are gender and gender identity being covered thoroughly in sex ed classes?
Schools may teach about puberty and how to prevent pregnancies and STDs, but they often neglect the topics of gender and gender identity. This results in a lack of meaningful discussion about the variety of expressions there are when it comes to gender—expressions that may not fit perfectly in a “man” or “woman” category. It can be tough for schools to cover this issue thoroughly, so we’re giving you a crash course.
Gender identity is more than a line with two defined ends or rigid boxes used to categorize people.

Sex Versus Gender

To fully understand the complexity of sex and gender, let’s get clear about some basic terminology. “Sex” and “gender” are often used interchangeably, even though they have different meanings.
“Sex” refers to biological and physical characteristics like chromosomes, hormones and sex organs. So a baby born with a penis and testicles is biologically a boy, while one with a vagina and ovaries is biologically a girl. But sex is not always that straightforward. A baby can be born with a combination of sex characteristics, such as genitalia that is not clearly a penis or a vulva, or chromosomes that are different from XX for biological girls and XY for biological boys. In that case, the person may be called “intersex.”
On the other hand, “gender” refers to what society deems and constructs to be appropriate for people of different sexes, whether it is through clothing, behavior or gender roles. For example, in our society, wearing makeup and cleaning are considered more appropriate for girls, while playing certain sports and videogames are considered more appropriate for boys. But none of these activities are truly restricted to a single gender. A person who is biologically male may enjoy doing activities that might be called “feminine.” This shows how sex—a person’s biological and physical characteristics—can be different from gender.

What Is Gender Identity?

Our sense of our gender and the way we feel about it is our gender identity. The way we communicate our gender identity is called gender expression. For some, gender identity is a no-brainer. Making up the majority of the population are people whose sense of gender matches their sex, like when someone feels like a girl and is biologically and physically a girl. That person is considered “cisgender.”

Milion 2 wapatiwa vitambulisho vya taifa

Mamlaka ya vitambulisho vya taifa nchini Tanzania NIDA imewahakikishia wananchi kuwa vitambulisho inavovitoa ni salama na haviwezi kughushiwa kwa namna yeyote.
Naibu waziri wa mambo ya ndani - Pereira Silima
Akizungumza kwenye kongamano la kimataifa la mamlaka ya vitambulisho vya taifa barani Afrika leo jijini Dar es salaam afisa habari wa NIDA Thomas William amesema kuwa Technolojia iliyotumika kwenye utengenezaji wa vitambulisho hivyo ni ya kisasa na inayotoa fursa ya vitambulisho hivyo kutumika kwa ajili ya huduma nyingine za kijamii.
William amesema mpaka sasa takribani watu mil 2 wamepatiwa vitambulisho nchini lengo likiwa ni kuwapatia watu mil 25 ambapo wamesema wengi waliopatiwa vitambulisho hivo ni wanafunzi wa elimu ya juu nchini ili kuondoa kero wakati wakuomba mikopo.
TAGS: EATV

Kazi haramu 66,000 za wasanii zakamatwa

Wizi wa kazi za wasanii umetajwa kuwa bado ni tatizo katika nchi ya Tanzania suala ambalo linasababisha serikali kukosa mapato na kudidimiza ukuaji wa maisha ya wasanii nchini.
Wasanii wa Tasnia ya Filamu Tanzania JB na King Majuto
Hayo yameelezwa leo mjini Dodoma na naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene wakati akijibu swali kutoka kwa Mbunge wa viti maalumu (CCM) mkoa wa Singida, Bi Martha Mlata ambaye alitaka kujua jitihada za serikali katika kutokomeza wizi wa kazi za wasanii na maslahi yao.
Ambapo akijibu swali hilo Mh Mbene amesema kuwa serikali mpaka sasa imeweka mkakati wa kuandaa muswaada ambao utasaidia kudhibiti wingi wa uingiaji na usambaaji wa kazi za muziki ambapo kupitia mpango wa serikali mpaka sasa wamefanikiwa kukamata CD NA DVD 30988 kwa kazi za ndani 35166 kwa kazi za nje.

Sijui lolote kuhusu usajili kwa sasa - Julio


Katika taarifa yake, Julio amesema, bado hajaingia mtaani kusaka nyota wa kuongeza nguvu kwenye kikosi chake kwani bado Shirikisho la Soka nchini TFF halijatangaza kufungua usajili na bado yupo katika mapumziko.
Julio amesema, muda mwafaka ukifika kila kitu ataweka wazi kuhusu wachezaji ambao atakuwa nao katika kikosi hicho kwa ajili ya maandalizi ya Ligi kuu Soka Tanzania Bara msimu ujao.
Mpaka sasa Mwadui imewasajili wachezaji wawili kutoka Kagera sugar ambao ni Rashid Mandawa na Maregesi Mwangwa kwa ajili ya msimu ujao.
SOURCE EATV PAGE
share na marafiki zako.

Alshabaab ladaiwa kuviteka vijiji Kenya

Hofu kubwa imetanda Kaskazini mwa nchi ya Kenya,baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba kundi la wapiganaji wa Al shabaab Limeviteka vijiji kadhaa katika mpaka wa Kenya na somalia.
Mamia ya wakaazi wameyatoroka makaazi yao kufuatia taarifa za kuwepo kwa wapiganaji wa Alshabaab wapatao thelathini.
Shule nne zinaripotiwa kufungwa.
Naibu kamishna wa kaunti ya Mandera amenukuliwa akisema kwamba wamepokea ripoti za kuwepo kwa wapiganaji hao na watawaandama na kulidhibiti eneo hilo.

source BBC SWAHILI

Muislamu wa US ashinda kesi ya Hijab


Mahakama ya juu nchini Marekani imetoa uamuzi uliompendelea mwanamke mmoja wa kiislamu ambaye alienda mahakamani baada ya kunyimwa kazi katika kiwanda cha kushona nguo kutokana na vazi lake la hijab.
Kampuni hiyo ilikataa kumuajiri Samantha Elauf mwaka 2008 kama msaidizi wa mauzo kwa kuwa vazi lake la hijab lilikuwa linakiuka sera za kampuni hiyo ambayo ilikuwa inapinga wafanyikazi kuvaa kitu chochote kichwani.

Rais wa FIFA Sepp Blatter kujiuzulu


Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amesema kuwa atajiuzulu kama rais wa shirikisho hilo kufuatia kashfa ya ufisadi.
Akitangaza kujiuzulu,kwake Sepp Blatter mwenye umri wa miaka 79 ameitisha kikao cha dharura mara moja ili kumchagua rais mpya.

Mti wa Ebola nchini Guinea

Kuna mti unaodaiwa kusababisha mlipuko wa Ebola nchini Guinea.Kundi moja la wavulana lilimpeleka mwandishi wa BBC katika mti huu.


Mbunge wa jimbo la Ukonga Dar es Salaam kupitia tiketi ya (CCM) Eugen Mwaiposa amefariki dunia

Mbunge wa jimbo la Ukonga Dar es Salaam kupitia tiketi ya (CCM) Eugen Mwaiposa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa usingizini nyumbani kwake Dodoma.
Kwa mujibu wa Naibu Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai ambaye amelitangazia bunge leo majira ya saa 7 mchana, marehemu Mwaiposa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu.
Ndugai amesema kuwa kwa sasa msiba upo nyumbani kwake eneo la Chadulu Dodoma ambapo pia familia yake inasubiria hapo kwa ajili ya kuaga mwili wake shughuli ambayo itafanyika kesho (Jumatano).
Bunge limeahirishwa hadi keshokutwa saa 3 Asubuhi.
Mungu ametoa Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe. R.I.P ‪#‎EugineMwaiposa‬.

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com