
Hii sayansi na teknologia
sasa inatupeleka pabaya. Hivi karibuni wataalam toka china wameleta
mashine maalumu ya kunyanyua matiti (yawe na muonekano wa saa 6) ambayo
itawasaidia kina dada/mama wenye maziwa yaliyoanguka au kusinyaa kuwa na
muonekano mzuri. Huduma hii imeshaanza kutolewa hapa nchini maeneo ya
sinza.Hivi hawa wachina wanatutakia mema kweli?,
Baadhi ya maoni ya watanzania juu ya mashine hii;
1. Hii ni hatari kama hatutakuwa makini,mishipa imepungua nguvu alafu unaisimamisha kwa nguvu'CHUNGA SANA.
2. Dada zangu tuwe makini na hizi mashine zinazokuja,baada ya urembo kinachofuata ni kansa.tujiulize mara mbili kabla ya kwenda huko
3. Utakuta mdada mzima, anajua kuwa tayari 'malapulapu yameshatamalaki, yeye anavaa suruali yake na kitop chake halafu bila sidiria huyooooo anaingia mtaani..........yaani unamuangalia unajiuliza hivi huyu hana mpenzi amwambie walau avae sidiria? Halafu utakuta anadai eti ana gundu mbona hatokewi! nani akutokee wakati mtu akikuangalia tu 'hamu' yote inaisha!
4. Kutokujiamini tu, kam kupendwa utapendwa tu hata kam una malapa kifuani.Na mbona mazoezi yanasaidia sana? Unaweza ukatengeneza mwili vizuri tu kwa kufanya mazoezi
No comments:
Post a Comment