Saturday, June 20, 2015

MWANAMUZIKI MABESTE AOMBA RADHI BAADA YA MKEWE KUMSHAMBULIA MTANDAONI MWANAMUZIKI JUMA JUX ALIPOPATA TUZO YA KILL MUSIC

Baada ya Mkewe Kumshutuma Mwanamuziki JUMA JUX kwa Kutokutoa Shukrani kwa Mabeste ambae alitunga wimbo wa sisikii uliyochukua Tuzo ya Kill Music ...Mabeste Naye Aliingia Mtandaoni na kuandika Haya Hapa chini:

'Wandugu wote mnajua mke wangu ana tatizo la kisaikolojia...hayupo katika hali yake ya kawaida kama vile zamani bado anaendelea na matibabu ya kisaikolojia....alichokiandika naeza sema ni moja psychological disease aliyo nayo....na awali nilishasema akipata habari mbaya ndivyo anavyokua ana over react na hata kupelekea kuzimia au kukakamaa mwili....habari za KTMA alikua hazijui Leo tu kaangalia Tv kaona...then akawa disappointed akachange ghafla hata time hii ka change ka kakamaa na ikimtokea hiyo hali anakua kama MTU mwenye kifafa so hapa nilipo bado Nina deal na hii situation maana inamchukua mda sana Ku recover! Naomba msimuhukum wala msicomment chochote kibaya kwa page yake we all know hayuko sawa! Hii ndio sababu uwa sikai mbali nae nahakikisha mda wote Niko nae hakuna anaye eza mhandle zaidi yangu! Bahati mbaya sikua karibu nae nilisindikiza wageni!! Normally hana tabia hiyo ila anashindwa control temper coz tayari yuko affected ... Sikatai kakosea ila pia muelewe hayuko sawa kisaikolojia na nilishasema haya before! Nimepata wakati mgum pia maana anacho Ki face nakijua Mimi tu.pia nawaomba msamaha kwa niaba yake na yeyote aliye ghadhafika juu ya hili...na mimi ndio niliyefuta ile post kwa page yake @juma_jux'

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com