Friday, June 19, 2015

WANAWAKE WENGI HAWAPENDI CONDOM" ILA HUWA WANAULIZA KUZUGA TU,UKWELI UKO HAPA

Kadude kadooogo lakini KASUMBUFU KWELI...Kanatiaga Uvivuuu...

Kila mtu akiulizwa anajibu kisiasa kwamba ANATUMIA lakini Mtu huyohuyo ikipita miezi 3 unashangaa ANA MIMBA unabaki kujiuliza alikuwa anamvalisha kwenye kidole gumba ama??
Yaani unaweza ukakanunua VIZURI TU...Unaenda nako mpaka Gesti VIZURI TU...Unakatoa mfukoni unakaweka Chini ya Mto pale kitandani kujiandaa na mechi VIZURI TU lakini mwisho wa siku unajikuta UMECHAKAZA RIM...

Yaani kitendo cha kunyoosha tu mkono kutoka kona ya kitanda ulipo kwenda chini ya mto ili uivae unahisi kama vile ule mto uko Njia Panda ya Ifakara... MBALII BALAA!


Halafu inavyoonekana Wanawake Wengi hawapendi Condom ila huwa wanauliza KUZUGA TU ili na yeye aonekane ALIULIZA SWALI
"Baby una Condom?"

Ukimwambia SINA utamuona anazuga kama kamaindi hivi halafu anajifanya anakupa Solution,"BASI NAKUOMBA USINYUNYIZIE DDT,UMWAGILIE MAUA NJE YA BUSTANI PLZ NIKO DANGER"..Uwe Danger umekuwa Transfoma ya Umeme!!
Ukimaliza utamsikia,"Halafu wewe sijui ukojeeeee muone vile"
MSHACHAKAZA RIM...


Shkamooni Wazee wa kwenda Na Pakti 3 na Unarudi Nazo zote 3 zikiwa INTAKTIIII Mpyaaaa...
Shikamooni wote mnaosemaga mnatumia halafu Mna Mimba miezi 2 leo...
Shkamooni na wale ambao mna sababu za Kisayansi kwelikweli
"Baby mi nikitumia Condom napata Allergy na Fungus"
MTAG BINGWA WA KUUZA MECHI UNAYEMJUA!!

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com