Tuesday, June 9, 2015

MBUNGE WA JIMBO LA MULEBA KUSINI NCHINI TANZANIA.... PR. TIBAIJUKA AZOMEWA NA WANANCHI WAKE......

Baada ya kuzomewa jana Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alifunguka haya
“Kama hamnitaki siyo lazima niwe mbunge wenu, mnaruhusiwa kubadili. Huyo aliyewapa viroba asubuhi hii ili mje mnitie aibu mbele ya katibu mkuu wa chama nawaambia hiyo dhambi itawatafuna,” alisema. “Mimi sitafuti kazi na wala sina njaa... na kama hela ya kula ninayo. Mimi sigangi njaa na kama mnataka kuwa na kiongozi mganga njaa muwekeni muone atawasaidia vipi,” Source: MCL
Unazungumziaje suala hili

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com