Tuesday, June 2, 2015

Sijui lolote kuhusu usajili kwa sasa - Julio


Katika taarifa yake, Julio amesema, bado hajaingia mtaani kusaka nyota wa kuongeza nguvu kwenye kikosi chake kwani bado Shirikisho la Soka nchini TFF halijatangaza kufungua usajili na bado yupo katika mapumziko.
Julio amesema, muda mwafaka ukifika kila kitu ataweka wazi kuhusu wachezaji ambao atakuwa nao katika kikosi hicho kwa ajili ya maandalizi ya Ligi kuu Soka Tanzania Bara msimu ujao.
Mpaka sasa Mwadui imewasajili wachezaji wawili kutoka Kagera sugar ambao ni Rashid Mandawa na Maregesi Mwangwa kwa ajili ya msimu ujao.
SOURCE EATV PAGE
share na marafiki zako.

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com