Tuesday, June 2, 2015

Mti wa Ebola nchini Guinea

Kuna mti unaodaiwa kusababisha mlipuko wa Ebola nchini Guinea.Kundi moja la wavulana lilimpeleka mwandishi wa BBC katika mti huu.



Walielezea kwamba siku moja waliwasha moto katika mti huo na popo wakaanguka kutoka kwa mti huo.Waliwajaza popo hao katika mifuko na kuwala.Wakati huo hakuna mtu ambaye alikuwa amewahi kufariki na mlipuko wa Ebola.

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com