Saturday, June 20, 2015

BVR MARA: VITUO VYAFUNGWA KWA UBOVU WA MASHINE


Zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura kwa kutumia mfumo BVR katika maeneo mengi ya mkoa wa Mara limeingia dosari baada ya mashine zinazotumika kushindwa kufanya kazi na nyingine kuharibika, na kusababisha vituo vingi kufungwa na kuibua malalamiko mengi kutoka kwa wananchi.
Kasoro hizo zimeripotiwa katika wilaya za Serengeti, Bunda, Butiama na Musoma mjini hatua ambayo imesabisha baadhi ya wananchi kushinda na k...
East Africa Television (EATV)'s photo.SOURCE EATV

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com