Thursday, November 19, 2015

WAZIRI MKUU AWAMU YA TANO WA SERIKALI YA JAMHURI YA MHUNGANO WA TANZANIA APATIAKANA...... SOMA HAPA.....

Waziri Mkuu mteule Kassim Majaliwa ametangazwa Mshindi wa nafasi hiyo Spika wa Bunge Job Ndugai kwa kupata kura 258 sawa na asilimia 73.5 ya kura zilizopigwa na kuthibitishwa na Spika wa Bunge.
-Idadi ya wabunge kikatiba 394,Wabunge waliosajiliwa 369,Akidi 184,idadi ya wabunge waliokuwepo ukumbini wakati wa zoezi la kupiga kura 351,Kura zilizopigwa 351,Kura mbili ziligharibika,idadi ya kura halali 349,
Matokeo.Idadi ya kura za hapana 91 sawa na asilimia 25 .9,idadi ya kura zilizoharibika 2 sawa na asilimia 0.06.
source EATV

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com