Dr. Tuli ashinda unaibu spika wa bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania mwaka 2015
Matokeo ya Kura za Uchaguzi wa Naibu Spika. Wabunge wote: 351 Magdalena SAKAYA – 101 (28%) Dr. Tulia Ackson MWANSASU – 250 (72%) Dr. Tulia MWANSASU amechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
No comments:
Post a Comment