Thursday, November 19, 2015

Waziri Mkuu awamu ya Tano .......apendekezwa......... muda si mrefu atapigiwa kura na wabunge wote

Rais Dk. John Pombe Magufuli amemteua Majaliwa Kassim Majaliwa, Mbunge wa Ruangwa kuwa Waziri Mkuu wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jina lake limetajwa bungeni muda huu.
Mhe. Majaliwa atathibitishwa kwa kupigiwa kura na wabunge wote muda mfupi ujao.
Kassim Majaliwa
Kassim Majaliwa alizaliwa Desemba 22, 1960 na ana umri wa miaka 54.
Ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na alikuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).
Source Mbeya FM

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com