Akihojiwa na redio station mh.Lissu anasema ameshangaa sana maneno aliyoyasema leo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari.SOURCE Jamii Forum
Anasema Dr.Slaa alikwisha kuteuliwa kuwa mgombea urais mwezi January na mwezi April akathibitishwa na kamati kuu,
Anaendelea kusema ameshangaa Dr.Slaa kusema Gwajima ndo alimleta Lowassa jambo ambalo siyo kweli kabisa, yeye Dr. Slaa mwezi wa tano ndo alianza kumtafuta Lowassa kwa kumtumia Gwajima
Anasema wakati Lowassa anapokelewa tarehe 27 July kwenye Kamati Kuu, Dr.Slaa hakulala nyumbani aliporudi nyumbani mchumba wake alimtupia mabegi nje na DR. alilala kwenye gari.
Anasema dr. slaa asiwadanganye watanzania tatizo ni urais na mchumba wake.
Tuesday, September 1, 2015
Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo watanzania mpuuzeni, maneno yote tatizo ni urais
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA
BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm
-
Sasa ni hivi, Kitendo cha kucheza na kisimi kwa utaalamu na mirindimo tofauti mpaka mwanamke anamaliza ndio kinaitwa "katelelo...
-
Katika makala hii tunaanza na kuelezea maana ya fasihi, fasihi fasihi simulizi kwa kutumia wataalam mbalimbali, baada ya kuelewa vizur...
-
The term code of ethics and code of conduct have been used interchangeably by Teachers and organizatio...
No comments:
Post a Comment