Thursday, May 7, 2015

HII NDO TANZANIA YENYE VIONGOZI MAKINI,,,,,,,,,,,

Mvua iliyonyesha jijini Dar es salaam kwa zaidi ya saa 24 imesababisha majanga jijini humo.Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa tahadhari na kuwataka watu wanaofanyakazi maeneo ya mjini Posta na Kariakoo kuwahi kutoka maofisini kutokana na barabara kujaa maji.Habari tulizozipata hivi punde kutoka kwa Mbunge wa jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mhe. Idd Azzan amesema watu wawili wamekufa baada ya kusombwa na maji katika daraja la Tandale.






East Africa Television (EATV)'s photo.
East Africa Television (EATV)'s photo. 

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com