TANGAZO: KOZI MAALUM ZA KUSOMA STASHAHADA (TEKU).
TANGAZO
KOZI MAALUM YA KUPATA SIFA YA KUSOMA STASHAHADA (DIPLOMA) YA UALIMU WA SHULE ZA MSINGI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018.
Mkurugenzi
wa Kurugenzi ya Elimu Anuai (DOCE) anatangaza nafasi za Masomo kwa
ajili ya wanaotafuta sifa za kujiunga na Ualimu WA Shule za Msinga (NTA
Level 4) kwa mwaka 2017/2018.
SIFA ZA MWOMBAJI:
Awe na ufaulu wenye alama zisizopungua "D" nne katika mtihani wa kidato nne.
KOZI ZA MAANDALIZI:
Mwombaji atachagua kusoma Cheti cha (Library and infoarmation Science) au (Information Technology) kwa mwaka mmoja. Akifaulu
vizuri na kupata Cheti cha Ngazi ya Nne (NTA Level4) atakuwa amepata
sifa stahiki za kudahiliwa na NACTE kujiunga na Diploma ya Ualimu wa
Shule za Msingi (Ordinary Diploma in Primary Education).
MUDA WA KUANZA MASOMO:
Masomo yataanza tarehe 1 Aprili, 2016.
ADA KWA MWAKA:
Ada ya masomo kwa mwaka ni Tsh.700,000/= ambazo zitalipwa kwa awamu NNE(4).
NJIA ZA UOMBAJI:
1. Fomu za maombi zinapatikana chuoni TEKU kwenye Idara ya kurugenzi ya Elimu Anuai
au anaweza kuingia kwenye Tovuti ya Chuo
www.teku.ac.tz.
S.L.P.1104-MBEYA.
2. Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba:- +255756501077 au +255767090188/+255764600241
3. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25 Machi, 2016.
TANGAZO LIMETOLEWA NA MKURUGENZI WA KURUGENZI YA ELIMU ANUAI.
KARIBU CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI KWA UALIMU BORA
========================================
An Institution of the Moravian Church in Tanzania-P.o.Box 747.Mbeya. Tel +255 25 2503626
MASOMO MEMA
SOURCE : MZALENDO PLUS
No comments:
Post a Comment