Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo alipokuwa anaongea na Wazazi
mkoani Ruvuma katika ziara yake ya Serikali mkoani humo. Amesema
serikali itamaliza tatizo la uhaba wa waalimu na hasa wale wa sayansi
pindi itakapowaajiri julai mwaka huu.
Source: Dira ya Mchana TBC1
Source: Dira ya Mchana TBC1
No comments:
Post a Comment