Monday, December 21, 2015

NIONGEE NA WEWE UNAYEDHANI UTAOLEWA NA MALAIKA UNAOLEWA NA MTU


Ngoja leo niongee na wale akinadada ambao wamejiwekea vigezo na masharti mengi sana katika aina ya mwanaume wanayemtaka. Sikatai kwamba lazima kuna vigezo vyamsingi vichache ambavyo kila mwanamke ni muhimu kuvizingatia na kuviheshimu lasivyo utaolewa na mwanaume tu na sio mume. Lakini wapo sasa wale wenye masharti milioni nzima, ukisikia wakivitaja vigezo vyao kuhusu mume wanayemtaka utadhani wanakwenda kuolewa mbinguni. Masharti utadhani mtu anaingia mkataba na benki kumbe ni ishu ya mume tu. Hivi unataka kuolewa na malaika au na mtu? Na kama ni mtu basi na wewe ni mtu na sio malaika, mtu huoa au kuolewa na mtu na sio vinginevyo. Dont be overambitious ukajipalilia mazingira ya stress zisizo lazima. Wewe jione bado binti wakati ishara za sura hadi tabia zinaonyesha kuwa mshale unakaribia kusoma uzee. Mwisho ukijakuhamaki na kupunguza masharti unaambulia kibabu. Kuwa makini na smart pia -

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com