Mtu
aliyejibadilisha maumbile na kuwa mwanamke Caitlyn Jenner ameorodheshwa
miongoni mwa wanawake 10 mashuhuri wenye ushawishi mkubwa pamoja na
Angelina Jolie,Singer Sia na Anna Wintour.
Orodha hiyo
iliyoongozwa na waziri wa kwanza wa Uskochi Nicola Sturgeon inawatambua
wanawake ambao wamekuwa wakiathiri uma pakubwa.Alibadilisha maumbile yake na kujiita Caitlyn katika jarida la Vanity Fair mwezi uliopita.
No comments:
Post a Comment