Kiongozi
wa taifa wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekanusha vikali
tuhuma za gazeti la taifa imara zilizodai kuhusika kwa mwenyekiti wa
IPP Dr. Reginald Mengi katika sakata la ESCROW wakati mjadala ukiendela
bungeni hadi kuhitimishwa .
Akihutubia wakazi wa mkoa wa shinyanga zito amesema hizo ni mbinu chafu za kutaka kumgombanisha na dr. Mengi, kupoteza muda na kuchafua watu.
Akihutubia wakazi wa mkoa wa shinyanga zito amesema hizo ni mbinu chafu za kutaka kumgombanisha na dr. Mengi, kupoteza muda na kuchafua watu.
No comments:
Post a Comment