Saturday, April 18, 2015

Serikali yaweka mikakati kuhusu Al-Shabab

Serikali ya Kenya imekuwa ikiweka mikakati ya kukabiliana na ugaidi, baadhi ya mikakati ambayo imetekelezwa ni ufungaji wa akaunti za wale wanaoshukiwa kufadhili ugaidi, pendekezo la kufunga kambi ya wakimbizi ya daadab na sasa, katika miji ya Nairobi na Mombasa, mabango makubwa yamewekwa yaliyochapishwa picha ya mshukiwa wa ugaidi Mohamed Mohamud kama njia moja ya kupata habari zitazosababisha kukamatwa kwake.toa maoni yako.

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com