Sunday, April 19, 2015

Mh. John Mnyika amtaka rais Jakaya Kikwete..................

Naibu katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo ( Chadema) bara, Mh. John Myika amemtaka rais Jakaya Kikwete pamoja na waziri wa uchukuzi Samwel Sitta kutoa majibu ya kina juu ya ajali za barabarani zinazoendelea kutokea hapa nchini ambazo kwa mwezi huu peke yake zimepoteza maisha ya watu zaidi ya 100.   Source ITV

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com