Thursday, June 27, 2013

ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI SHINYANGA



Sunday, February 26, 2012

WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA
                                    
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua banda la ngombe wanaofugwa kisasa wa familia ya Raphael Masanja katika kijiji cha Nyamigege katika jimbo la Uchaguzi la Msalala wilayani Kahama akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 25, 2012;

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amempakata mtoto Raphael Mihayo (2) wakati alipokagua mradi wa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa kwenye familia ya Mzee Raphael Masanja katika kijiji cha Nyamigege wilayai Kahama akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 25, 2012.

Msanii Toogwa Madilisha wa Kijiji cha Chela katika jimbo la uchaguzi la Msalala wilayani Kahama akicheza ngoma ya pachanga wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipohutubia Mkutano wa hadhara katika kijiji hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga, Februari 25, 2012.


‘The Prime Minister managed to Reach various villages including Chela ward and Nyamigege in Busangi ward,where he opened the Project of  Agriculture Irrigations”

THANKS
BY  Sir  Makoye  A.  Mkazi  wa Chela.

No comments:

BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

 BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm

Logo

Logo Design by FlamingText.com