Aman Makoye Shabane's Blog
Friday, July 13, 2018
Friday, May 25, 2018
OFFICIAL NEWS: THE LIST OF SELECTED FORM SIX LEAVER STUDENTS TO JOIN JKT 2018 NATIONAL SERVICES
TAARIFA JKT KWA UMMA
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limefanya
uteuzi wa wanafunzi waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita
kutoka shule zote za Tanzania Bara kwa mwaka 2018, kuhudhuria mafunzo ya
JKT kwa mujibu wa Sheria.
Sanjari na uteuzi huo, JKT limewapangia
Makambi ya JKT watakayokwenda kupatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu
na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 01-10 June 2018.
Wahitimu hao, wamepangiwa katika Kambi
za JKT Rwamkoma – Mara, JKT Msange – Tabora, JKT Ruvu – Pwani, JKT
Makutupora – Dodoma, JKT Mafinga – Iringa, JKT Mlale – Ruvuma, JKT
Mgambo na JKT Maramba – Tanga, JKT Makuyuni – Arusha, JKT Bulombora, JKT
Kanembwa, Nachingwea- Lindi na JKT Mtabila – Kigoma.
Aidha, wahitimu wenye ulemavu wa
kuonekana kwa macho (physical disabilities) wanatakiwa kuripoti kambi ya
Ruvu JKT iliyopo mkoani Pwani ambayo ina miundombinu ya kuhudumia wa
jamii hiyo.
Vijana watakaochaguliwa watatakiwa
kujigharamia nauli za kwenda na kurudi kwenye makambi ya JKT
waliyopangiwa wakiwa na vifaa vifuatavyo:
Bukta ya rangi ya Dark blue yenye mpira
kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini
isiyo na zipu. Aidha bukta za wanawake zinatakiwa kuwa na lastic
magotini.
Raba za michezo zenye rangi ya kijani.
Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari.
Soksi ndefu za rangi nyeusi.
Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangwa kwenye mikoa yenye baridi.
Track Suit ya rangi ya kijana au bluu
Mkuu wa JKT anawakaribisha vijana wote
walioteuliwa ili waweze kujiunga na vijana wenzao katika kujifunza
Uzalendo, Umoja wa Kitaifa, stadi za kazi, stadi za maisha na Utayari wa
kulijenga na kulitumikia Taifa letu.
Orodha kamili ya majina ya vijana na makambi ya JKT waliyopangiwa vinapatikana kwenye tovuti ya JKT ambayo ni www.jkt.go.tz
BOFYA JINA LA KIKOSI HAPO CHINI KUANGALIA MAJINA JA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA KWANZA 2018
Bofya LINKS ZIFUATAZO1. http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/BULOMBORA.pdf
2.http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/RWAMKOMA.pdf
3.http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/MSANGE.pdf
4.http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/KANEMBWA.pdf
5. http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/MTABILA.pdf
6. http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/RUVU.pdf
7.http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/MAKUTUPORA.pdf
8 http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/MGAMBO.pdf
9. http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/MARAMBA.pdf
10. http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/MAFINGA.pdf
11. http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/NACHINGWEA.pdf
12.http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/MLALE.pdf
13. http://www.jkt.go.tz/images/documents/MUJIBU2018/MAKUYUNI.pdf
Subscribe to:
Posts (Atom)
BREAKING NEWS; MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 HAPA
BFYA LINK HAPA CHINI KUYAPATA>>>>> http://41.59.85.98/results/2018/acsee/acseex.htm
-
Sasa ni hivi, Kitendo cha kucheza na kisimi kwa utaalamu na mirindimo tofauti mpaka mwanamke anamaliza ndio kinaitwa "katelelo&q...
-
Katika makala hii tunaanza na kuelezea maana ya fasihi, fasihi fasihi simulizi kwa kutumia wataalam mbalimbali, baada ya kuelewa vizur...
-
The term code of ethics and code of conduct have been used interchangeably by Teachers and organizatio...